hater - mimi mars lyrics
[verse 1]
proud of myself
baba god amenibless
i love myself
ain’t n0body gonna stress me
proud of myself
baba god amenibless
i love myself
ila kuna watu wanahate
[pre chorus]
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
[chorus]
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k*mbe ni ma hater
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k*mbe ni ma hater
d*mn d*mn d*mn
d*mn d*mn d*mn
k*mbe ni ma hater
d*mn d*mn d*mn
k*mbe ni ma hater
d*mn d*mn d*mn
[verse 2]
wanakuchehea kwa face
ukiondoka wanakusema
wanakusema
k*mbe ni ma hater
hata ufanye nini
wao hawaonagi jema
hawana jema
k*mbe ni ma hater
me naishi maisha yangu
kujuana isiwe tabu
usinikate vibе
mbona unanikata vibe
me naishi maisha yangu
kujuana isiwe tabu
usinikatе vibe
mbona unanikata vibe
vibe vibe
mbona unanikata vibe
vibe vibe
mbona unanikata vibe
[pre chorus]
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
wee nuna
kama unakunja wee kunja
vuvula
nikuogope wewe nani
[chorus]
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k*mbe ni ma hater
tabasamu usoni
kwa ndani, moyoni
k*mbe ni ma hater
d*mn d*mn d*mn
d*mn d*mn d*mn
k*mbe ni ma hater
d*mn d*mn d*mn
k*mbe ni ma hater
d*mn d*mn d*mn
Random Song Lyrics :
- oh! stella - non-functional beings lyrics
- иллюзия (illusion) - missage lyrics
- blow yo' face off - 919slum lyrics
- ankh. - intro alternative (bonus) - y0ni lyrics
- just a little talk with jesus - the steeldrivers lyrics
- la aprendiz (remix) - moncho chavea, omar montes & maka lyrics
- лёгкий вайб (easy vibe) - john leader lyrics
- the stove boat song - tom hogan lyrics
- banque de france - saiili lyrics
- deep rock bottom - dekma, guap sensei & umsy lyrics