
ifunanya - mr.ofe lyrics
blacq
mmmhh mh
mmmh yeeah mmmh
baby nipe mimi tu vile vya uvunguni
mwenzio kwenye mapenzi nishaenyeka
nifikishe mpaka juu mawinguni
mwenzio kwenye mapenzi nishaenyeka
kama koloni sina hata moyoni sina (zaidi ya wewe)
chaguo lingine sina kama nakufa acha nizikwe nawewe
acha nikuambie tu hii siri ya moyo w-ngu
hata nikificha mboni zitaniumbua
acha nikuonyeshe kina na upana wa mapenzi yangu
na uwe w-ngu wa milele niwe wako
ifunanya
ifunanya
ifunanya
ifunanya
nishapitia mengi hadi nusu nijipe kitanzi nikachoropoka
ile kutapatapa kama mfa maji nikakorofoka
nikawa natembea ukichaa mikasa ya mapenzi inakorokocha
simanzi kutwa kucha sijiwezi
basi chonde chonde iwe mwisho na usije nikatili na
hayo majeraha niuguze (niuguze)
ila acha nikwambie tu hii siri ya moyo w-ngu
hata nikificha mboni zitaniumbua
acha nikuonyeshe kina na upana wa mapenzi yangu
na uwe w-ngu wa milele niwe wako
ifunanya
ifunanya
ifunanya
ifunanya
aah mmmhh mwenzio
ifunanya
kwako we ndo sijiwezi
ifunanya
hata nyendo sina mbele sioni
ifunanya
nakupendaga wewe tu
ifunanya mmhh yeah mmmmh
the mixk!ller
ostrich music
Random Song Lyrics :
- bada-låten - humlan djojj lyrics
- wolves - shenath de almeida lyrics
- switch locations - kay bandz lyrics
- focus - stephen becker lyrics
- time 2 kill - marcu5thebaw5 lyrics
- good days will come (questers remix) - thursdays love lyrics
- der ekel ii - charlotte brandi lyrics
- love song - johnny osbourne lyrics
- bai - weezy no kami lyrics
- when you were young (live on radio 104.5) - june divided lyrics