lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nimependwa tena - msomali lyrics

Loading...

ah!
ona leo ii nilowachika nimependwa tena
sasa mitaa mzima nak*mbia mitaa koma
ona leo ii nilowachika nimependwa tena
sasa mitaa mzima nak*mbia mitaa koma
ona hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
ona hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
koma
mtani koma
mamae si w*ngu mtani koma?
ah, ona mi naanza na mafumbo mtandao ni mtani koma?
namaliza na mashemeji waliosema nimekonda kinoma
kilani yangu, ubo wapi?
uliosema mwingine sifati?
hata wewe efu efu w*ngu ulikuwa ndombaya w*ngu
hata wewe efu efu w*ngu ulikuwa dosi nchi w*ngu
ona namchukia mama mkwee
mama mkwendo aliofanya penzi rife
ona namchukia mama mkwee
mama mkwendo aliofanya penzi rife
mama aaah
ona walisema sitofika
hapa ni wapi?
ona walisema sitotoboa
hapa ni wapi?
ooh walisema sitofika
hapa ni wapi?
yee walisema sitotoboa
hapa ni wapi?
ona leo ii nilowachika nimependwa tena
sasa mitaa mzima nak*mbia mitaa koma
ona leo ii nilowachika nimependwa tena
sasa mitaa mzima nak*mbia mitaa koma
ona hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
ona hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
ah, naichangachanga mitani kw*ngu ninunue sabu ufa
sabu ufa mitani mtani koma
himbo za mafumbo mitani itakua noma
we sabu ufa mitani mtani koma
we ex w*ngu akinyua gari naokota makopo leo
we makopo leo mitani itakua kimeo
we ex w*ngu akijenga nyumba minaokota makopo
we makopo mitani itakua kideo
oh makopo mitani itakua kideo
ah!
ona hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
ona hauoniacha nimependwa tena
mtani koma
ah, tunaishi kwa love safii
watoto wa mbagara awashampine
ah, na this nakinto mwanaangu
designer uchebe chafu yangu
asante
mwana kujako mwanaangu
adust kaka aa tuende tuende

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...