si unajua (remix) - msomali lyrics
[intro: dulla makabila]
oohohhohh ohohhoho
oohohhohh ohohhoho
ohhhhh
[verse 1: dulla makabila]
kuna muda najikaza tu
ila shemeji yenu hajatulia
nimekuwa fala tu wakinitongoza namwambia
katembwa na rafiki zangu
na wala hajali kama nimejua
nikimblock saa sita
saa sita na nusu namblock ua
ukiniona nimeanza kunenepa
sura ina nuru shavu linatoka
yeye huyoo
muda wote na furaha
na video call zisizo kwisha
yeye huyoo
ukiniona na mawazo
kula siwezi
yeye huyoo
nagombana na watu
kisa mapenzi
yeye huyoo
hili penzi lishakuwa kitanzi
yeye huyoo
linanifanya nikose pumzi
yeye huyoo
ataniua
ananitesa mimi
[pre*chorus: dulla makabila]
si unajua yeye kw*ngu ndiyo kila kitu
si unajua mimi nataka afike kwetu
si unajua nimezaliwa mtu kutu
si unajua mf*koni mimi sina kitu
[verse 2: msomali]
lile serenge serenge dazeni
nishakula vitu vyangu sitaki zeshene
si unajua mtaani wanaita panya
nalivuta kiunoni ukinichanganya
si unajua mtaani wanaita panya
nalivuta kiunoni ukinichanganya
maisha yangu unajua
sina kitu mf*koni fedhea
na wewe unataka tufunge ndoa
je nikuulize unaweza kuvumilia
[chorus: msomali]
si unajua mi mwenzako sina kitu
si unajua baba na mama makapukuu
si unajua nimezaliwa mtukutu
si unajua nasifika wizi wa kukuu
aaah vitamin yooh
Random Song Lyrics :
- abra a felicidade (part. di e mv bill) - pitty lyrics
- uma revanche - sérgio saas lyrics
- todo poderoso - warlen miiller lyrics
- asayake - all japan goith lyrics
- vou seguindo - novo tom lyrics
- surra de peru na cara - montagem lyrics
- toma jeito coração - turma do pagode lyrics
- curupaco - tetê espíndola lyrics
- telephone - beyoncé lyrics
- solidão machuca - henrique e juliano lyrics