lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

niwewe - mwb kenya muzik lyrics

Loading...

song ni wewe

chorus(1)

ni wewe
unarejesha..
waliopotea kwako baba..

ni wewe
unainuwa..
waliochini kuja juu baba..

ni wewe
unaponya..
magonjwa ya zina duniani..

ni wewe
ulimwokoa..
daniel kwenye shimo la simba..

verse (1)

mbona nikukane
na wewe ni mwokozi baba
zaidi ya yote
na wewe ni mwokozi w*nghe
mbona nikukane
na wewe ni mwokozi w*nghe
zaidi ya yote
na wewe ni mwokozi w*nghe
verse (2)

stress katika
ulinifunza..
neno la imani
kuwa nawe kila saa
paulo na silaa
waliona kushinwa…
ukatokea ukawashindia

chorus (2)

ni wewe
unarejesha..
waliopotea kwako baba..

ni wewe
unainuwa..
waliochini kuja juu baba..

ni wewe
unaponya..
magonjwa ya zina duniani..
ni wewe
ulimwokoa..
daniel kwenye shimo la simba..

verse (3)

waliokukimbilia washapona..
hapa duniani wanaishi
walioletakujua
ukawaonesha kuwa wewe ndio kusema..

verse (4)

2′ ni wewe mwamba wa yuuu
simba wa yuuda
omwami w*nghe
ni wewe njia yanguuu..
yakunifika kwa baba,×2

verse (5)

vita nashida bila kuja…
na pinganiwa
baba niwewe
mtu kija kwako wezikushindwa
baba daima
daima na milele
eeh baba

chorus (3)

ni wewe
unarejesha..
waliopotea kwako baba..

ni wewe
unainuwa..
waliochini kuja juu baba..

ni wewe
unaponya..
magonjwa ya zina duniani..

ni wewe
ulimwokoa..
daniel kwenye shimo la simba..

ni wewe
unarejesha..
waliopotea kwako baba..

ni wewe
unainuwa..
waliochini kuja juu baba..

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...