maombi - nadia mukami lyrics
[intro]
nadia….
(hoyah hoyah hoyah)
(hoyah hoyah hoyah)
[verse 1]
nilichopata nikiomba walisema kitakwisha
nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba
hao binadamu walinipa wiki
sasa imepita miaka bado wanasubiri
[bridge]
kazi ya mungu haina makosa
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa
[chorus]
sio juju ni maombi, ni maombi, ni maombi
si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi
sio juju ni maombi, ni maombi, ni maombi
si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi
hoya hoya,hoyaaah
hoya hoya,hoyaaah
hoya hoya,hoyaaah
[verse 2]

[verse 3]
maneno ya wanadamu, yalinilenga kama mishaleee
ila mungu hawezi kubali uangukee
alichoanzisha leo, lazima atakamilisha weeeh
[bridge]
kazi ya mungu haina makosa
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa
[chorus]
sio juju ni maombi, ni maombi, ni maombi
si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi
sio juju ni maombi, ni maombi, ni maombi
si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi
[outro]
si uchawii weeeh
si uleviii eeeh
si kwa nguvu zangu mieee
si ka nadia katambeeeee
Random Song Lyrics :
- himno al niño - nubeluz lyrics
- tokibird - blaccmass lyrics
- really don't care - sam heighton lyrics
- feelings - jay loud lyrics
- ciego de amor - flvy lyrics
- surrounded - keo (singer) lyrics
- top down - anthony bezel lyrics
- me, myself - danna paola & mika lyrics
- 911 / waves - adolescent bambino lyrics
- znam, znam, znam - laufer lyrics