lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kunjani - nandy lyrics

Loading...

yiii, eeeh, shiiii
okay, okay, okay

[verse 1 : nandy]
wananijuwa me ni number one
control manonga zidane
hit floor amuonekani
sawubona man, kujani
aibo aii kidogo
asubui k*chai muogo
aibo aii kidogo
asubui k*chai muogo
sawubona man, kunjani
aibo aii kidogo
sawubona man, kunjani
aibo aii kidogo

[chorus : nandy]
t bway the flame
sawubona man, kunjani
aibo aii kidogo
sawubona man, kunjani
aibo aii kidogo

[verse 2 : sho madjozi]
h*llo…
h*llo, hujambo ndo nimeland hapa o.r*tambo
h*llo, hujambo ndo nimeland hapa o.r*tambo
h*llo, ukowapi?
ndo nimefika na mademu w*ngapi?
h*llo, ninani leo tumekuja kukiwasha nanani?
sho madjozi peace kali amedamshi
tunafujo tumejaa kwenye gari
tunakula bata wala hatujali, aafu hawaamini nnavyo chapa konyagi
sho madjozi ni samaki kwa maji
sho madjozi ni jogoo halali
sho madjozi ni ndege anafly
wao wanasema wata nishusha, sidhani
[chorus : nandy]
sawubona man kunjani
aibo aii kidogo
sawubona man kunjani
hallooo
aibo aii kidogo

[bridge : sho madjozi]
sehifikile la yimi lange
mina anikhomi mina nila tisenter
nilaba nike nilaba benz
nilaba ku spender mali tati rente
sehifikile la yimi lange
mina anikhomi mina nila tisentеr
nilaba nike nilaba benz
nilaba ku spendеr mali tati rente

[bridge : nandy]
chezesha midomo chezesha midomo
chezesha macho chezesha macho
chezesha midomo chezesha midomo
chezesha macho chezesha macho
aaahhh

[chorus : nandy]
sawubona man kujani
aibo aii, kidogo
sawubona man kunjani
aibo aii, kidogo
aaah shooo!

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...