
naburudika - nandy lyrics
[verse 1 : nandy]
marashi ya karafuu yamenimwagikia kichwani
nimesheheni harufu ya uwaridi ashumini
na sielewi umenichanganya changanya
umenipiga nusu kaputi ya mapenzi
na sielewi ipi karoti ipi nyanya
kwani ipi ndala na lipi buti nimepatwa uchizi
unanikimbiza kama duma duma
nishasahau ya nyuma nyuma
aaaah baby unavyojituma tuma
mi niko hoi
ona ninavyoguna guna
kwani nani amenuna nuna
yani unavyonibana mi sikohoi
[chorus : nandy]
kweli mapenzi ni burudani
naburudika naburudika
burudani naburudika mieee
jama mapenzi ni burudani
naburudika naburudika
burudani naburudika mieee
[verse 2 : nviiri the storyteller]
maisha nywee mambo shwari
maisha yetu kila siku party
sema ngweee nidunge kaki
kitenge nayo iwe shati
take my name itangazwe bbc
vile umeangukia bbc
hapa kila siku joto
haizimiki moto
naona rahaaaa
kikombe changu umejazaa
naona far kichwani
kila nnapo kuwaza
nakuja dar tuma location
nitafwata hivi ndivyo inafaa ooooh no
[chorus : nandy]
kweli mapenzi ni burudani
naburudika naburudika
burudani naburudika mieee
jama mapenzi ni burudani
naburudika naburudika
burudani naburudika mieee
Random Song Lyrics :
- spy cameras - the microphones lyrics
- lejos de ti - miami sound machine lyrics
- пcихoз - guero lyrics
- elettrica - litfiba lyrics
- it's a wonderful life - robbie williams lyrics
- stick up - c-note lyrics
- batman commits tax fraud - cubby kamikaze lyrics
- não tou nem aí - plutonio lyrics
- puff shit - dot cromwell lyrics
- omens - unsecret lyrics