lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nibakishie - nandy lyrics

Loading...

mmmmmh oh oh oooh mmmh

[verse 1 : nandy]
yaani, nikikutazama
naiona dunia w*ngu peke yangu tu
jua linapozama, giza likiingia
natamani nikuone tu
ooh baby ukisakata rhumba
sijalewa nayumba
caterpillar limebomoa nyumba mmmh
natamani nife nizikwe nawe
shida na raha nawe
niwe nawe

[pre chorus : nandy]
mwenzako nimepatwa na homa
umepasua ngoma
we baba ni noma mmmh
akili imesita imegoma
mwisho wa reli kigoma
ooh ooh

[chorus : nandy & alikiba]
oh baby (nibakishie)
usinipe vyote mie (nibakishie)
utaniua (nibakishie)
kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
oh baby (nibakishie)
usinipe vyote mie (nibakishie)
utaniua (nibakishie)
kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
ooh baby
[verse 2 : alikiba]
nishaharibu c*cky ya mapenzi acha niloe
pacha w*ngu ni wewe tunamatch sare sare
nitazurula kulilinda penzi
kwa ndumba na chale
tetеre lipe mchelе mzoga wake mwewe
ooh, basi nikabidhi
ooh, moyo sitopunja wala kupima aiyaya
ya yanishika ganzi na kichomi kuchoma
mwili mzima wa tetema ooh maybe

[pre chorus : alikiba]
baby, umetekenya ngoma
we mama ni noma (noma)
akili imesita imegomaa
mwisho wa reli kigoma kigoma kigoma
ooh ooh

[chorus : nandy & alikiba]
oh baby (nibakishie)
usinipe vyote mie (nibakishie)
utaniua (nibakishie)
kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
oh baby (nibakishie)
usinipe vyote mie (nibakishie)
utaniua (nibakishie)
kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
ooh baby eeh
[outro : alikiba]
sio na ndio, na ndio eeh baby
baby, aah ndio baby
sio, yogo on the beat
na ndio, na ndio, i see you, i see you
i love you baby

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...