
raha - nandy lyrics
overviewlistenlyricsvideosartists
nawaza ingekuaje kama ningekukosa
nawaza
inamaana hizi raha zote ningezikosa
nawaza
penzi limenikolea kama mtoto anashindwa tembea
raha zimenibombea kwa mama nitakusemea
si wanasemaga penzi bonde na milima nipeleke
unichonipaga usidiriki kunyinma mi nideke
penzi limetaradi oya halima acha nicheke
nilale ama mi nisimame wima
unanipa raha, n*z*di kuwa mdogo mi sikui
unanipa raha
nifanye kitafunwa unile
unanipa raha
zidi kunifundisha mi sivijui
unanipa raha
nianze kukulisha ndo nile
oh oh oh oh oh oh oh
oh oh oh oh oh oh oh
oh oh oh oh oh oh oh
hadi kucha zinaisha
nikikuona n*z*ng’ata
unavyonizubanisha mi napagawa oyani tu
tuache yote tisa, k*mi nakupa limbwata
unavyoniburudisha mi napagawa
nakupenda unanipenda mpaka rahaa
nikikuona tu nashiba sina njaa
hili penzi limejawa na furaha
wakikuiba natoa mtu kafara
si wanasеmaga penzi bonde na milima nipelеke
unachonipa usidiriki kuninyima mi nideke
penzi limetaradi oya halima acha nicheke
nilale ama mi nisimame wima
unanipa raha, n*z*di kuwa mdogo mi sikui
unanipa raha
nifanye kitafunwa unile
unanipa raha
zidi kunifundisha mi sivijui
unanipa raha
nianze kukulisha ndo nile
Random Song Lyrics :
- bad love - bremmy lyrics
- född långt från usa - markus krunegård lyrics
- rimanessência - sant lyrics
- клевый день (cool day) - riley baby lyrics
- panorama (musyeangelo intro) - musiye lyrics
- leeloo - str8 flexin [remix]- keedee freestyle - almighty kd - keedee lyrics
- on s'en fiche - tunisiano lyrics
- imparerò - drupi lyrics
- haroun tazieff - swift guad lyrics
- adamak - sadegh lyrics