lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wanibariki - nandy lyrics

Loading...

mmmh ooh baba

[verse 1]
niwe pekee wanijua vyema
kwako sitetereki kamwe
wanitenda mema na kunipa heshima
umenifanya nisimame
na kama nikishikwa na shida
nitakimbilia hekaluni mwako
nitajaza nafsi mbele zako bwana
nitasema yote yanayonishinda

[pre chorus]
nilipo mie na wewe upo
nilipo mie na wewe upo bwana
nilipo mie na wewe upo
nilipo mie na wewe upo bwana

[chorus]
haa, wanibariki eeh
haaa aah, sitokuacha milele
haa, wanilinda mie
haaa aah, nitakuabudu milele
haa, wanibariki eeh
haaa aah, sitokuacha milele
haa, wanilinda mie
haaa aah, nitakuabudu milele
[verse 2]
hakuna giza tena wala hakuna mashaka
umeivua laana umenivika baraka
moyo w*ngu wakutamani ewe baba
nafsi yangu yakulilia
umenijaza imani sio haba neno lako nashikilia
umenishika mkono wako (asante asante)
umenivusha magumu (asante asante)
umenishika mkono wako (asante asante)
umenivusha magumu (asante asante)

[pre chorus]
nilipo mie na wewe upo
nilipo mie na wewe upo bwana
nilipo mie na wewe upo
nilipo mie na wewe upo bwana

[chorus]
haa, wanibariki eeh
haaa aah, sitokuacha milele
haa, wanilinda mie
haaa aah, nitakuabudu milele
haa, wanibariki eeh
haaa aah, sitokuacha milele
haa, wanilinda mie
haaa aah, nitakuabudu milele
[outro]
milele milele milele
milele..ooh baba wanibariki mimi
na wabariki na wao

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...