
yote sawa - nandy lyrics
mimi sio kama wale
walopita zamani mpenzi
ooh niamini mwendo uwe sare
usije nicha njiani mpenzi
kule niliona mazito
penzi lilikuwaga la mpito
kulalama kulichosha koo
ila nashukuru ilinikomaza roho
licha ya kuitoa mchangani
sikuacha kujipa imani
j*po mengi yalinikata maini
nikaliwazua na msondona
uzuri haupotei ramani
ubaya hauvaishwi miwani
nikachoka madongo ya gizani
na mateso ya sodoma
yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
yote sawa, wouuh
yote sawa (yote sawa)
tafsiri ya penzi sio kitanda tu
ina mengi juu yake ni mapenzi
sio kama sioni na sio ushamba boo
kuna wengi niwafuate
nilijaribu nilipoweza kufanya
haikuonekana kw*ngu ikawa aibu
kunichombeza kwa sana k*mbe ananidanganya
licha ya kuitoa mchangani
sikuacha kujipa imani
j*po mengi yalinikata maini
nikaliwazua na msondona
uzuri haupotei ramani
ubaya hauvaishwi miwani
nikachoka madongo ya gizani
na mateso ya sodoma
yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
yote sawa, wouuh
yote sawa (yote sawa)
Random Song Lyrics :
- big trapper - gosh mello lyrics
- cook do do do - peelander-z lyrics
- attention (feat. rocalist) - kevie lyrics
- vol 2 - feid lyrics
- monopoly - surgeon lyrics
- avant les étoiles (prologue) - hoshi klm lyrics
- magic (sped up) - ooes lyrics
- you're the fool - mavis staples lyrics
- кто хочет покурить? (who want smoke?) - drag lyrics
- about you - niv0512 lyrics