
kenya native anthem text - national anthem lyrics
Loading...
kiswahili
(verse:1)
ee mungu nguvu yetu
ilete baraka kwetu
haki iwe ngao na mlinzi
natukae na udugu
amani na uhuru
raha tupate na ustawi.
(verse:2)
amkeni ndugu zetu
tufanye sote bidii
nasi tujitoe kwa nguvu
nchi yetu ya kenya
tunayoipenda
tuwe tayari kuilinda
(verse:3)
natujenge taifa letu
ee, ndio wajibu wetu
kenya istahili heshima
tuungane mikono
pamoja kazini
kila siku tuwe na shukrani
sent by carlos andré pereira da silva branco
Random Song Lyrics :
- tselinoyarsk - white lts lyrics
- is that remarkable? - adam guettel lyrics
- lucky strike - berhana lyrics
- helium remix - 五 更 カ イ ト (gokou kuyt) lyrics
- sag mir wo die blumen sind - udo lindenberg lyrics
- smokin on my own - wavy jone$ lyrics
- through my blood (am) - aimer lyrics
- american hypnosis - saba lyrics
- golden - joseph cook lyrics
- nauseous - gregory weekes lyrics