
tanzania national anthem - national anthems lyrics
Loading...
1.
mungu ibariki africa
wabariki viongozi wake
hekima umoja na
amani hizi ni ngao zetu
afrika na watu wake.
chorus:
ibariki afrika
ibariki afrika
tubariki watoto wa afrika.
2.
mungu ibariki tanzania
dumisha uhuru na umoja
wake kwa waume na watoto
mungu ibariki tanzania na watu wake.
chorus:
ibariki tanzania
ibariki tanzania
tubariki watoto wa tanzania.
sent by carlos andré pereira da silva branco
Random Song Lyrics :
- i want you - lil different lyrics
- go there with you - victoria monét lyrics
- body language - stripped - elio (wal) lyrics
- we don't take music seriously - nuclear bubble wrap lyrics
- trumpets - _by.alexander lyrics
- again - emotionals lyrics
- shut down - skitz & goldin lyrics
- these days - scottie scottsen lyrics
- love - x lovers lyrics
- hélas ! je n'étais pas fait pour cette haine... - dëgénéréscence lyrics