
hasira - nay wa mitego lyrics
oya oya k*mekucha wanangu tupeni shuka
mkiendelea kulala mtashangaa tumeuzwa
kitaani hekaheka mambo yamebadilika
mashoga wanaongezeka vidume tunahisabika
mwambieni mama kitaani kuna njaa
vitu vimepanda bei ni balaa
mf*koni mapochi yamechakaa
yapo kama mapambo hayana chapaa
oya wanangu wee (eeeh)
skuizi wavuta bangi ni wakina dada (weeee)
oya majita eee (eeeh)
yani kuna wnaaume nao wanadanga (aaaah)
ni vipi niketiketi wakati nna miguu ya kusimama (yeeeh)
ni vipi nicelebrate wakati wanangu kula ya ngama (aheyaa)
oya tarantatarira tariratarira
napandwa hasira (hasira hasira)
tarantatariraa tariratarira
napandwa hasira (hasira hasira)
walala hoi tuko macho tunavumilia mateso
twende tukapambane tusijifungie mageto
hatuna usiku wala mchana situnapambana
jipiganie mwenyewe usije mwamini mwana
ayo niaje makamanda sihatuna lawama
dawa imewaingia mpaka watoto wa mama
wanatamani kulia ila tu wanajikaza
siwanaogopa laana (eeeeh)
skuizi vijana hawapendi kazi na ndio maana wanakazwa
tukiombee hichi kizazi kisicho ogopa lana
ukimuona motto mkali
ana simu kali
mtandaoni hatari
ila pakukaa hana
ukimuona handsome boy
ana pamba kali
humksosi batani
ila anaishi kwa wana
oya wanangu weee (eeeh)
skuizi wavuta bangi ni wakina dada (weeee)
oya majita eee (eeeh)
yani kuna wnaaume nao wanadanga (aaaah)
ni vipi niketiketi wakati nna miguu ya kusimama (yeeeh)
ni vipi nicelеbrate wakati wanangu kula ya ngama (aheyaa)
oya tarantatarira tariratarira
napandwa hasira (hasira hasira)
tarantatariraa tariratarira
napandwa hasira (hasira hasira)
oya wanangu weee (eeeh)
skuizi wavuta bangi ni wakina dada (weeee)
oya majita eee (eeeh)
yani kuna wnaaume nao wanadanga (aaaah)
Random Song Lyrics :
- frozen heart - luhtra official lyrics
- параллельный мир (parallel world) - eliotmusic lyrics
- limón y sal - britt (duo) lyrics
- unforgotten - axl red lyrics
- acid na gubałówie - hubert. lyrics
- antes da banda passar - miguel falabella lyrics
- tevagyazalány - azahriah & desh lyrics
- #throwback - mit mj rips lyrics
- hidden track (feat. spice) - vybz kartel lyrics
- the batman (vengeance) - daddyphatsnaps lyrics