
mara ya mwisho - ndung'u mbithi lyrics
Loading...
[verse 1]
sikujua ilikua mara ya mwisho
kukuona
mara ya mwisho
kuonana
ningejua ningekuk*mbatia zaidi
mara ya mwisho
juzi niipitia ma area
tulizokua tukuienda
pamoja
nalia moyoni kwani
sikujua ilikua
mara ya mwisho
[chorus]
[instruemental]
*phone ringing*
[verse 2]
ulienda bila onyo
haukusema hautarudi
ulienda bila kusema ya kwamba
ni mara ya mwisho
[chorus]
[instruemental]
*crying*
“the person you have called is not reachable. we will notify you when the mobile subscriber is back. if you wish to leave a voice message then please do so after the tone.”
Random Song Lyrics :
- rōshi - jd. reid lyrics
- wiersz o nas i chłopcach - matheo & grzech piotrowski lyrics
- no amanhecer - bnegão & os seletores de frequência lyrics
- just wanted to write something - notevenarapper lyrics
- 脫單 (dismissal) - 李玖哲 (nicky lee) lyrics
- gua love minahs - akeem jahat lyrics
- obladi oblada - the liverpool band lyrics
- money chaser - asian da brat lyrics
- 9mm laser - c squared lyrics
- don't trust 'em - prezzy king iv lyrics