
pole pole - neimm lyrics
[intro: neimm]
na na na naa na na na
[chorus: neimm & dayoo]
pole pole
pole pole
[verse 1: neimm]
mmmh!
twende pole pole baby
hii dunia ina mengi!
nilipotoka mateso majanga
nivumilie
mimi huyu nishakutana na vingi chonde usininunie
kuna muda sina mood, usiwaze sikupendi, nisubirie
[pre chorus: neimm]
we umekuja kutibu, mungu kakuleta
ndo nafuu yangu
la kwako linanisibu shida yaliyopita yaliacha maumivu
oh baby
[chorus: neimm & dayoo]
pole pole
pole pole
pole pole
pole pole
music break
[verse 2: dayoo]
oh yeah
kizazi mama umeshanielewa
ndo, salama
sitawaza mambo mengi wala
kukuweka mbali (ah)
sheli nawasha fegi mie, niombe nini nisipewe
haswa umeniweka sawa
nimеshapiga start, gari nimeshapaki yaani
sare sare
hata wanivutе shati nachagua kubaki
naanza, kuzama
msiniokoe chonde, mvuvi nafia mtoni
ayaya!
[pre chorus: neimm]
we umekuja kutibu, mungu kakuleta
ndo nafuu yangu
la kwako linanisibu shida yaliyopita yaliacha maumivu
oh baby
[chorus: neimm & dayoo]
pole pole
pole pole
pole pole
pole pole
Random Song Lyrics :
- who am i - stuffboi jiji lyrics
- fist bump - roll for it lyrics
- friendship? - bright campa lyrics
- tekir - norm ender lyrics
- tutanchamon - dominoo lyrics
- voodoo voodoo - zucchero lyrics
- gang member - kendrick lamar lyrics
- nubes - niña dioz lyrics
- nieuw bloed - frank boeijen groep lyrics
- everyone's agreed that everything will turn out fi - gerry rafferty lyrics