
tranka - ngoi wa mangai lyrics
wamangai wamangai..
nguza v king eeeeeeee dizabow dizabow…
we nunua bonge la gari at utanipa lift
mimi mwenyewe nawajua si wametoka kwa kiki
ndugu zao ma dj mziiki wait biskut
bwana jozee mwita vp mbona hauulizi utoke vip
wanapost magari wameazima showroom
wanadai nyumba zao w*n*lala sitting room
wanashunda instagram na madem wa singidan
wanapost chips kuku hawajazila tangu juzi
mimi mwenyewe mkali siwezi kufunga mbwa
sitegemei zali tranka siwezi kuvunja
ngoi wa mangai logo yangu huezi unga
yule kiponda kw*ngu ni bonge la mchumba…
sijaanza jana naandika dingi anachana
ndevu na osama
saada na kapama
nakesha na tenzi yani ucku na mchana
ety who em i
we bonge la nyani umezaliwa afrika
una tetea masnich
nawachana masnich wote wawili
yule kiiponda na yule second wa pili
ma spy waooo wanaishi kwa uoga
naichana hi verse siko tungi
nko bomba
naitawala dar kama vile ghetto kw*ngu
unamkuta demu wako ana tattoo ya sura yangu
wamangai iii…..zero miakaaa naneeeee…yaaaaa man
ssoooo yahhh….soo yaaaahhh
Random Song Lyrics :
- i wonder - l.m.a. rubbi lyrics
- time machine - sub zero project lyrics
- when the blast comes - utter nonsense lyrics
- не отпускай меня (don't let me go) - hirxaki lyrics
- landela - yumus lyrics
- black men don’t cheat - chris crack lyrics
- sigue tu corazón - maria blanco lyrics
- dancing in retro lights - vortex (fr) lyrics
- independence day - kevin mcdermott lyrics
- ya love (geneva jacuzzi remix) - king gizzard & the lizard wizard lyrics