
penda jirani - nine c lyrics
Loading...
acha fitina
acha kuteta jirani yako ndugu yangu
kwa sababu shida iki kupata
yeye ndiye ataku sahidiya wa kwanza
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
acha chuki acha uongo
ina leta matenganyo kati jirani
tafuta masikilizano
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
mwenye anapenda ndugu yake
ana ishi katika mw-ngaza
ooh oh
uta sema jee una penda mungu
kama una chuki kwa jirani
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
wewe ambae ume pata neema
yaku sikiya mwimbo iyi badirika
ukisha mpenda
ata kama yeye aku pendi
uta barikiwa na mungu
penda jirani jinsi unaji penda
timiza neno la bwana mina kuomba
usi chunge wakusifu kwa unacho tenda
penda kwa ukweli popote unapo enda
Random Song Lyrics :
- dizzy - mc cla$ic lyrics
- thug cry - wrightway dee lyrics
- las floreras del boqueron - pancho lara lyrics
- dumb flex - miss lafamilia lyrics
- purgatory's most wanted - dedboii kez lyrics
- sea sick - luca brasi lyrics
- michelle pfeiffer - ethel cain lyrics
- alive ~偽リノナイ世界~ - tatsh lyrics
- barrio - ashafar lyrics
- wyobraźnia - 3n1gm4 lyrics