
mawio - njoki karu lyrics
Loading...
[verse 1]
fata mwendo wa jua
kunapokucha
kunapokucha
fata mwendo wa jua
kunapokucha
na kutakucha
[chorus]
eeh
[verse 2]
fata mwezi kwa giza
tarajia, tarajia
fata mwezi kwa giza
tarajia, tarajia
[chorus]
mawio
eeh
mawio
eeh
[bridge]
usife moyo baba
k*mekucha, tazama k*mekucha
usife moyo ndugu
k*mekucha, tazama, tazama
usife moyo baba
k*mekucha, tazama k*mekucha
usife moyo ndugu
k*mekucha, tazama, tazama
mawio
Random Song Lyrics :
- shout! - jacob mountain lyrics
- celeb beat down - jbee lyrics
- nik yato - repo lyrics
- szkodazdrowia - onlyorzel lyrics
- 1.2 stepper - ynkeumalice lyrics
- dream girl - smokefullboy lyrics
- метель (blizzard) - k-plugg & гданьск (gdansk) lyrics
- costume - yung bitetti lyrics
- i feel fantastic - prodkaz (pop) lyrics
- sour candy - jed and the valentine lyrics