jike shupa - nuh mziwanda lyrics
[verse 1 : nuh mziwanda]
nipeleke kwa mganga, na mimi nataka w*nga
maana mapenzi yamenikoroga kinoma
anachanje chale mwili mzima
nisimk*mbuka ata jina, yule hasidi
gaidi wa moyo w*ngu
anachanje chale mwili mzima
nisimk*mbuka ata jina, yule hasidi
gaidi wa moyo w*ngu
[pre*chorus : nuh mziwanda]
haya mapenzi basi, nimeyavulia shati
kupendwa ni ajira, na mimi sina vyeti
haya mapenzi basi, nimeyavulia shati
kupendwa ni ajira, na mimi sina vyeti
kule kukusifia, mabaya kukufichia
mbele ya mama, oh baba, oh mama, oh lala
mapenzi si ubondia, najikaza huku nateketea
bora nijivue, nisijisumbue
mapenzi si ubondia, najikaza huku nateketea
bora nijivue, nisijisumbue
[chorus : ali kiba]
eiii
sasa basi, inatosha, nimekopesha mwili w*ngu
bila kuogopa
k*mbe jike shupa
ata kwenye karata, huku unaruka kila sehemu umeshapita
sasa basi
[verse 2 : nuh mziwanda]
ulijidai kunipima akili kwa mizani
kuniendesha kama toy, kukosa nuru kutwaa kuzama
ukanikinai na aibu kunitia hadharani
kuniona sifai masikini nimekosa nini
[pre chorus]
haya mapenzi basi, nimeyavulia shati
kupendwa ni ajira, na mimi sina vyeti
haya mapenzi basi, nimeyavulia shati
kupendwa ni ajira, na mimi sina vyeti
kule kukusifia, mabaya kukufichia
mbele ya mama, oh baba, oh mama, oh lala
mapenzi si ubondia, najikaza huku nateketea
bora nijivue, nisijisumbue
mapenzi si ubondia, najikaza huku nateketea
bora nijivue, nisijisumbue
[chorus : ali kiba]
eiii
sasa basi, inatosha, nimekopesha mwili w*ngu
bila kuogopa
k*mbe jike shupa
ata kwenye karata, huku unaruka kila sehemu umeshapita
sasa basi
[outro]
inauma, inauma, inauma, inauma
inauma, inauma, inauma, inauma
Random Song Lyrics :
- anesthetic - matryoshka lyrics
- for our life - sweetheart lyrics
- dónde estás - sheims lyrics
- go - fix me please lyrics
- wiedergeboren - pisty lyrics
- to all the girls i’ve slept with - fun. lyrics
- go forth and hate one another - radon lyrics
- fin del disco - dalevuelta lyrics
- переночую (stay tonight) - abdr. & truwer lyrics
- square one - masc music lyrics