
baridi - nviiri the storyteller lyrics
[intro: nviiri the storyteller]
aaaah (hii baridi, eh)
aaaah (hii baridi, eh)
aaaah (the storyteller, ayy, ayy, ayy)
aaaah
[verse 1: nviiri the storyteller]
hii baridi ni mbaya, ah, ah
hii baridi, eh (eh, eh, eh)
nimetetemeka ya kutosha
kuja unik*mbatie (woiyoiyoiyo)
nimejaribu kahawa, ah, ah
nikajaribu gauge (gauge)
najua ukikuja, utafanya i*disappear
[pre*chorus 1: nviiri the storyteller]
shida zangu si za doctor, ah
shida zangu si za vodka
sema leo utatoka na mimi
nitakungoja
shida zangu si za doctor, ah
shida zangu si za vodka
sema leo utatoka na mimi
nitakungoja
[chorus: nviiri the storyteller]
sema nijipange
sema nijipange
ningependa kukuona leo
tujibambe (tujibambe)
sema nijipange
sema nijipange
ningependa kukuona leo
tujibambe (tujibambe)
ooh, lord, ooh, lord
[interlude: sanaipei tande]
aaah, ah, ah
aaah, ah, ah
aaah, ah, ah
aaah, ah
[verse 2: sanaipei tande]
natamani lako joto, oh, oh
natamani moto
nimetetemeka ya kutosha
njoo unik*mbatie
nimejaribu blanketi, ii, ii
moto kwenye fireplace
najua ukikuja, utafanya i*disappear
[pre*chorus 2: sanaipei tande]
shida zangu si za doctor, ah
ama whiskey
niambie utatoka na mimi
nitakungoja
shida zangu si za doctor, ah
ama whiskey
niambie utatoka na mimi
nitakungoja
[chorus: sanaipei tande]
sema nijipange
sema nijipange
ningependa kukuona leo
tujibambe (tuji, tujibambe, tuji, tujibambe)
sema nijipange
sema nijipange (ooh)
ningependa kukuona leo
tujibambe
oh, lord, oh, lord
[interlude: nviiri the storyteller]
baby, niambie
ooh, baby, niambie
[outro: sanaipei tande, nviiri the storyteller and both]
uko down? uko ready? (uko ready?)
njoo tu*get busy
uko down? uko ready? (uko down? uko ready?)
njoo tu*get busy
uko down? uko ready? (uko down? uko ready?)
njoo tu*get busy
uko down? uko ready? (uko down?)
njoo tu*get busy
Random Song Lyrics :
- the hyperion threnody - mechina lyrics
- un bain de cassoulet - david tmx lyrics
- cast the net (ash howes radio mix) - sarah blasko lyrics
- fwm - cheeco lyrics
- she's so freaky - egyptian lover lyrics
- shock me wide awake - layton lyrics
- yeaahh - bow wow lyrics
- tanker - basim lyrics
- intro (just getting started) - chris abbate lyrics
- voices in my head - yg king lyrics