
mae wendi - nviiri the storyteller lyrics
[intro]
(mmmh)
(mmh, mmmmh) sol generation
(oooh) nviiri, baby
the storyteller, ayy, ayy (ooh, oooh)
[verse 1]
acha nianze kwa kutoa shukrani kwako
malaika amependa binadamu, mimi
na ni nani angewahi dhani nitakuwa wako
na wewe w*ngu, mimi, iyeh, iyeh
[pre*chorus]
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata, oh
[chorus]
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wеndi
[verse 2]
umenigusa roho, umenifanya kamili
haya mapenzi nimеamini (mayo, mayo, mayo)
naomba nisije kuvunja roho
naomba tusije badili tulivyo
tubaki hivyo
[pre*chorus]
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata
si kawaida pendo la kweli kujipa
ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata, oh
[chorus]
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
[bridge]
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
(mayo, mayo, mayo, mayo)
umenigusa roho
[chorus]
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
mae wendi, oberana, obera mae wendi
Random Song Lyrics :
- jeg er så glad hver julekveld - nidarosdomens guttekor & arve tellefsen lyrics
- absolute clarity - christian fitness lyrics
- sorry - gvrd3n lyrics
- finally out - dive index lyrics
- broke - surekid lyrics
- do me tonight - nightlife unlimited lyrics
- all eyez on me - bright campa lyrics
- reckless.wav - ak0 lyrics
- kospiration - asger b lyrics
- independent - estikay lyrics