
niko sawa - nviiri lyrics
nviiri:
ooh, mmh
ooh
what a waste (instrumentals)
oh lord
the storyteller ay
what a waste
babe tumejiseti, we on the highway
tukafunga breaki, tukaanza bishana
asking,’ who is diana?” vipi mnajuana?’
i swear tumejibetray, baby tumejiseti
’cause love isn’t here right now
i guess we’ll never know(never know)
mahali hii story ingeenda
chorus:
tulichoanza (kuja tumalize)
kinachokwaza(baby ziandike)
punguza drama (baby zitushike)
washa kishida
bien:
i don’t wanna argue
ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha number
najua una*miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe number
(instrumentals)
bien:
bado we husemanga me ni psycho
bado mi hupiganga simu yako
nili*delete*ingi number yako
lakini bado naik*mbuka kwa moyo,yo
and i just can’t explain
thoughts of you and me keep going up and down in my brain
and you were looking for some love didn’t care for the fame
i was looking for a good time, playing the game yeah, ah
and now you’re stuck on my lane
moving in together, baby it was never the same
oh, it’s such a shame, kila saa tunagombana
lini tutaelewana? yeah
chorus:
tulichoanza (kuja tumalize)
kinachokwaza(baby ziandike)
punguza drama (baby zitushike)
washa kishida
i don’t wanna argue
ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha number
najua una*miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe number
(instrumentals)
i don’t wanna argue
ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha number
najua una*miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe number
the end
Random Song Lyrics :
- hatemyguts - dooozii lyrics
- lost time - tiwa savage lyrics
- cura cura - ruïnosa y las strippers de rahola lyrics
- monster - the sfb show lyrics
- 那天你愉快嗎? (feel happy that day?) - 鄭秀文 (sammi cheng) lyrics
- outnumbered - lakewood music lyrics
- extra fried - doodibabby lyrics
- mashi millonarios - yassin b lyrics
- switch up - iwan2c lyrics
- trampled savika non-smoker - perasa mevivit lyrics