
busy - nyashinski lyrics
[verse 1]
ni mi damp, governor wa shin city
while you’ve been gossiping, i’ve been busy
net worth iko high ka sauti ya kindiki
ma show ziko packed huezi susu no diddy
wanasue haina issue no biggie
big shoes toto kuzi*fill sio easy
i made millionaires, wakakuwa greedy
wana njaa excess wameshindwa kuistiri
kama stripper, au mafisi
industry mzima hutry k*move kama sisi
ona tukimuok wanaingiza baridi
silver kwa wingi, shin ni wanjigi
wamejaribu kuharibu jina imekataa
nawashinda na akili na chapaa
toka na story zao za kijinga
kuja mahali kuna ma*brown ka kabinga
[pre*chorus]
n*z*letanga vile unataka nizibring (never lie)
niko busy nakugidi what you want
wako itchy wanataka kuingia kwa mix (never lie)
busy nakugidi what you want
[chorus]
niko busy, number zote busy
busy sana busy
busy nakugidi what you want
niko busy, siku zote busy
busy kama busy
busy nakugidi what you want
[verse 2]
touch down, naingia nawin na*go missing
top tier my dear, my millions i’m eating
nashiba mpaka mnajiita ma*meeting
nikiitwa beat inapatanga beating
ni slaps, mi nko na drink huoni glass
mr macheez mon nasip joh ni black
si ati ni jokes au naringa ni facts
kw*ngu ile gross w*n*lipwa ni tax
i’ve been putting in work
nimekuwa famous for yеars na ina perks
ma*young’in waligrow wakiniskia wanarap
hakuna kitu unaeza niambia naget busy
[pre*chorus]
n*z*lеtanga vile unataka nizibring (never lie)
niko busy nakugidi what you want
wako itchy wanataka kuingia kwa mix (never lie)
busy nakugidi what you want
[chorus]
niko busy, number zote busy
busy sana busy
busy nakugidi what you want
niko busy, siku zote busy
busy kama busy
busy nakugidi what you want
n*z*letanga vile unataka nizibring
nakugidi what you want
wako itchy wanataka kuingia kwa mix (never lie)
gidi what you want
[outro]
niko busy, busy, busy
never lie
busy, busy, busy
Random Song Lyrics :
- gunga ginga - t-trap lyrics
- freight train to nowhere - vigilantes of love lyrics
- sabretooth - insinnerator lyrics
- culpa et inferna - revel in flesh lyrics
- la mia carrozza - mina lyrics
- proteinprotection - the fall lyrics
- in the night time - george thorogood & the destroyers lyrics
- jugando free fire - la ñapa (rd) lyrics
- on my mind - jcee lyrics
- here's to the halcyon - old 97's lyrics