
fly - nyashinski lyrics
[verse 1]
bila raha hakuna time za kurememba
na time ya kuremember ndo utakua nayo pekee
bila love hakuna mahali tuna enda
show me love i’ll never show anything else
hizi moment nataka zi last forever,(zi last for ever)
every moment uko nayo jitolee(jitoleeee)
ka ni real basi uta kua hapo kila weather,(any weather)
utafurahia jua zaidi ka jana kulirain.(rain)
[bridge]
ridhisha moyo aai
usiulize why?oh why?oh why?
uko in the mix with the best enjoy
that’s all i want..enjoy..enjoy
to feeling more alive,(to feeling more alive)
the reason why oh why oh why
uko in the mix with thе best
thats all i want
[chorus]
ona vile saa hua ina fly,vile saa hua ina fly
ona vilе saa hua ina fly,vile saa hua ina fly
ata si amini..mini
vile ina fly ata si amini..mini
[verse 2]
machao nayo unashindwa kuona
tuki worry hakuna kitu tuta change
bila love hakuna mahali tuna enda
show me love i’ll never show anything else
onja raha ujionyeshe unajipenda
time unayo usikubali kuiwaste
real hu maanisha niko hapo kila weather
real hu maanisha niko hapo kila day
[bridge]
so ridhisha moyo aai
usiulize why?oh why?oh why?
uko in the mix with the best enjoy
that’s all i want..enjoy..enjoy
to feeling more alive,(to feeling more alive)
the reason why oh why oh why
uko in the mix with the best
thats all i want
[chorus]
ona vile saa hua ina fly,vile saa hua ina fly
ona vile saa hua ina fly,vile saa hua ina fly
ata si amini..mini
vile ina fly ata si amini..mini
Random Song Lyrics :
- agloe - 石橋英子 (eiko ishibashi) lyrics
- de forbudte trin - nicki pooyandeh lyrics
- freaky pimps - samkay october lyrics
- cars & caution signs - the maine lyrics
- change - crismowave lyrics
- can't hold me down - deraj lyrics
- american boys - deborah galli lyrics
- jeg vil hjem igen! - sonja hald lyrics
- serenity - arachnor lyrics
- goin dumb - tha psycho (thapsycho) lyrics