
niokoe - obby alpha lyrics
[intro]
ai, yeah
ai, yeah
baba weh
welcome to the music surgery
[pre*chorus]
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w*ngu niokoe
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w*ngu niokoe
[chorus]
niokoe
niokoe
niokoe
mungu w*ngu niokoe
niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe
mungu w*ngu niokoe
[verse 1]
kama huu ni upepo wa machozi
basi gharika la furaha yako lije
na kama hii ni mvua ya huzuni
basi we uwe mwamvuli w*ngu
na kama hii ndio maana ya ukame
haya machungu najua mwenyewe
nisaidie mwanao nipone
msaada w*ngu ni wewe pekee
[hook]
ni mnyonge
ni mnyonge
ni mnyonge
mungu w*ngu nisaidie
ni mnyonge (mnyonge)
ni mnyonge
ni mnyonge
mungu w*ngu nisaidie
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w*ngu niokoe
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w*ngu niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe (yesu weh)
niokoe (niokoe)
niokoe
mungu w*ngu niokoe
niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe
mungu w*ngu niokoe
[verse 2]
hey
nimeshajaribu kupapasa
kutafuta faraja kwingine
ila kote huko ni wewe pekee
nimeshazunguka kwa waganga
na matabibu kote nimefika
ila kote huko nimeshindwa
faraja yangu ni wewe pekee
[hook]
uwe tiba
uwe tiba (niokoe)
uwe tiba
uwe tiba
mungu w*ngu niokoe
uwe tiba
uwe tiba
uwe tiba
uwe tiba (uwe tiba)
mungu w*ngu niokoe
(nimelia sana)
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w*ngu niokoe
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w*ngu niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe (yesu weh)
niokoe (niokoe)
mungu w*ngu niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe (niokoe)
niokoe (niokoe)
mungu w*ngu niokoe
Random Song Lyrics :
- llora - sánaba beats lyrics
- scru cypher 2 - scruff (producer) lyrics
- riddle me that - soma lyrics
- u don't luv me - sadlilblackboy lyrics
- hughes lives on forever - the irish brigade lyrics
- zaman varsa - fieber lyrics
- mad world - carlos simpson lyrics
- give nothing - lost for life lyrics
- cayenna 06 e se fosse eu - raul muta lyrics
- intro (infected) - introoke lyrics