
nisaidie - obby alpha lyrics
[intro]
ooh, ooh, ooh
ooh, ooh, ooh
ooh, ooh, ooh, ‘ooh, ooh, ooh
[?]
[verse 1]
najua inawezekana
kusaidiwa nawe
najua inawezekana
kuniponya we
najua inawezekana (wezekana)
kuinuliwa nawe
najua inawezekana
kufaulu nawe
nimejitahidi kwa nguvu zangu mimi siwezi
baba nimefurukuta, kwa akili zangu siwezi
(oh, oh)
nimejaribu kwa ndugu zangu
nao wameshindwa yeah
nimejaribu kwa rafiki zangu
nao wameshindwa
[chorus]
baba we uliye na nguvu za kweli (nitetee)
unitetee maana nimeshindwa kweli
baba, ‘naomba nisaidie, nisaidie, nisaidie
naomba nisaidie, nisaidie, nisaidie (ooh, ooh)
baba yangu ni barikie, ni barikie, ni barikie
baba ni barikie, ni barikie, ni barikie (ooh, ooh)
ai, yеsu w*ngu we, oh
[verse 2]
baba haya machozi nimejitakia
maana sikutaka kukusikiliza
na haya maumivu nimejitakia
maana sikutaka kukutеgemea
uliye sema nisimuamini, mi nikamuamini
uliye sema nisimtegemee, mi nikamtegemea
na nikianguka lawama naleta kwako, nisamehe
mwanao nimejuta, nimerudi tena kwako, nisaidie
[post*chorus]
baba we uliye na nguvu za kweli (nitetee)
unitetee maana nimeshindwa kweli
baba, ‘naomba nisaidie, nisaidie, nisaidie
naomba nisaidie, nisaidie, nisaidie (ooh, ooh, babab)
baba yangu ni barikie, ni barikie, ni barikie
baba ni barikie, ni barikie, ni barikie (ooh, ooh)
ooh, yesu w*ngu we, oh
[?]
oh, oh*oh
Random Song Lyrics :
- oi linda tudo bem? - mc janota lyrics
- cheese - juaninacka lyrics
- may day - kayzie_t lyrics
- it's the weekend - red arlington lyrics
- tempero na batida - 3030 lyrics
- el buitre - la vela puerca lyrics
- table for one - liana bank$ lyrics
- heemin - mac duna lyrics
- saboreando - peret/los enemigos lyrics
- dark wave - stephen malkmus and the jicks lyrics