
kistaarabu - otile brown lyrics
Loading...
unaweee
teddy b
nahisi anavyocheza ni kama ananitega
macho take yenye mvuto ni kama ananiita
mdomo unavyong’ata pumzi zinaniisha
kiuno n-z- n-z- anavyokatika
she started blowing, he says ala!
kaja mwenyewe nasema heri nisitomjua cheze na wewe
basi
simama tucheze, kistaarabu, kistaarabu
nishike nikushike kistaarabu, kistaarabu
ama tucheze kistaarabu
nishike nikushike kistaarabu
kaka usiniache, kistaarabu
eeehe, iyeehe
asema, mi nina mpango na wewe
wala usiwe na kiwewe
hapa nikanye mwenyewe ila naomba niwe na wewe
usiku kama huu, nakuhitaji sijui ukaja na nani
ila naomba uwe nani
tusije pakana jasho men, am a cl-ssic man
taratibu ukaniite gentlemen
Random Song Lyrics :
- fever - drea rose lyrics
- tiny indoor fireworks - biffy clyro lyrics
- yo lo frené (part. mackie) - ñengo flow lyrics
- snowbirds don’t fly - young zeni lyrics
- maria da penha - mauricio baia lyrics
- aitopäisyys - huge l (fi) lyrics
- toxic - nikko tank lyrics
- left to try - osrin lyrics
- working on me - cuddle magic lyrics
- sıfır tolerans (mahmut orhan remix) - hadise lyrics