
niende - otile brown lyrics
chorus]
bora nikuache uende uende uende
ama mimi nisepe nisepe nisepe
bora nikuache uende uende uende
ama mimi nisepe nisepe …
[verse 1]
ohh right
ade boy ukishikwa shikamana
ukipendwa upendeke utaajeachwa
kwani upewe nini wewe
ufanyiwe nini
uridhike, hauna shukrani
[pre chorus]
tena ole wako wewe
juhudi zangu usisone bure
si lazima unipoteze
ndo ujue unanitaki
tena ole wako wewe
juhudi zangu usisone bure
si lazima unipoteze
ndo ujue unanitaki
[chorus]
bora nikuache uende uende uende
ama mimi nisepe nisepe nisepe
bora nikuache uende uende uende
ama mimi nisepe nisepe….
no no no no, no no no baby hmmmm
no no no no, no no no baby hmmmm
[verse 2]
umeninyanyasa nyasa jamani eeh
wamenisema sema sana mijirani eeh
umenikomboa mwenzio
umenikaba kooni
sikohoi siongei
[pre chorus]
na ole wako wewe
juhudi zangu usisone bure
si lazima unipoteze
ndo ujue unanitaki
tena ole wako wewe
juhudi zangu usisone bure
si lazima unipoteze
ndo ujue unanitaki
[chorus]
bora nikuache uende uende uende
ama mmi nisepe nisepe nisepe nisepe
bora nikuache uende uende uende
ama mimi nisepe nisepe (nisepe) ooh yeah
no no no no, no no no baby hmmmm
no no no no, no no no baby hmmmm
Random Song Lyrics :
- ouija - sincroniza2 lyrics
- wub ur frens!!! - foxlordhentai lyrics
- infinitely better - shutups lyrics
- linda - collage (it) lyrics
- opening - ben visini lyrics
- stay safe - mc tai pwon lyrics
- make a wish - lisha g lyrics
- я тебя знаю (i know you) - фогель (fogel) lyrics
- conto i battiti - giulybee lyrics
- make a wish - nellie mckay lyrics