mama - petronilla ayuma lyrics
intro
the spirit of a mother never dies
verse 1
uliyalea maisha yangu
upendo wako kw*ngu ulikuwa mkuu
milele daima ulikuwa kw*ngu
hata kama uliondoka haraka
mkono wako ulinifuta machozi
mdomo wako uliniimbia wimbo
ulinituliza kifuani pako
nikalala mikononi mwako ooh mamaaa
chorus
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe
verse 2
mbingu zilipo nigeukia kijivu
wakati mwingi nilikuwa taabani
ulikuwapo daima kunifariji mimi mama aaah
ulinifunza like kitu nikajua
nami nikaweka salama ndani yangu
upendo wako kw*ngu ulikuwa kama miyale ya nyota aah
kuniangazia dunia yangu vikali mimi mama aah
asante malkia w*ngu dunia yote
chorus
mamaa mamaa
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe
bridge
mamaaa mamaaa
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe
nimetafuta kila mahali nimetafuta dunia yote
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe…
kwenye vikundi vya wa mama
sijaona wakulinganishwa..
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe…
mwenye mausia bora
mwenye uelekezi bora..
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe…
mwenye ushawishi bora
mwenye mwenye uongozi bora
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe…
chorus
mamaa mamaa
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w*ngu dunia yote hakuna kama wewe
Random Song Lyrics :
- lax - ka$hdami lyrics
- jesteś krwią w mojej żyle - kasia lins lyrics
- tell me story - the orange apples. lyrics
- kiss me kill me - arku beats lyrics
- 41 - kilo keemzo lyrics
- il castello oltre il soffitto - jonathan (maurizio pracchia) lyrics
- miss.ミスミー (miss. miss me) - kavka shishido lyrics
- assumptions - jadda ann lyrics
- the safety dance (alternate mix) - trans-x lyrics
- death note - 7minutoz lyrics