
una manzi - phy lyrics
mrefu kama mlingoti
tamu kama mshikaki
nakucheki
pale pale
mweusi kama my coffee
mtanashati ooh baby nakucheki
pale pale
…
sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie
…
una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number
…
twende uki niruhusu, nikakupige busu
nakucheki pale pale.
wazazi wakikubali, twende zetu tumarry
nakucheki pale mbele
…
sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie
…
una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number
swaga yako baby balaa,
unafanya mimi fala
nakucheki pale pale
swaga yako baby balaa,
unafanya mimi fala
nakucheki pale pale
sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie
…
una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number
Random Song Lyrics :
- just go away - deaddboy lyrics
- enamorado - jaime castellanos lyrics
- hestia - luxlie solai lyrics
- jagodna polja - eva braun lyrics
- потанцуй (dance) - ever45 lyrics
- apprends-moi - mdns lyrics
- "2001," song from twenty-eighteen anno domini - blanket heron lyrics
- pill (leak) - link do zap lyrics
- mix culisueltas - las culisueltas lyrics
- for real - mo3 lyrics