lirik lagu pendo la mungu – christina shusho
naona pendo
kubwa mno latoka kwa mwokozi w-ngu
niteleka na maji mengi yatembeayo baharini
lanitolea tumaini
ya kwamba nitatiwa nguvu
na niwe mhodari
kwa pendo kubwa la mwokozi
lanitolea tumaini
ya kwamba nitatiwa nguvu
na niwe mhodari tena
kwa pendo kubwa la mwokozi
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
na pendo hilo kubwa mno
huyaondoa majivuno
na kunifunza haki kweli
uongo wote niuvue
hunituliza moyo w-ngu
huruma nayo hunitia
na sote tuwe na umoja
katika pendo la mwokozi
hunituliza moyo w-ngu
huruma nayo hunitia
na sote tuwe na umoja
katika pendo la mwokozi
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako (moyo wako baba)
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
nijazwe pendo hilo kubwa
inibidiishe siku zote
rohoni niwe na juk-mu
nimtumikie bwana yesu
hazina yako nipeleke
kwa watu waliopotea
wafahamishwe pendo kubwa
ulilonalo mungu w-ngu
hazina yako nipeleke
kwa watu waliopotea
wafahamishwe pendo kubwa
ulilonalo mungu w-ngu
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
(end)
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu dicky man pachi › lirik lagu forma de escapar – dicky man & pachi
- kumpulan lirik lagu chanan › lirik lagu more than myself – chanan
- kumpulan lirik lagu gotu jim › lirik lagu yoko – gotu jim
- kumpulan lirik lagu jerome olds › lirik lagu bethlehem – jerome olds
- kumpulan lirik lagu bloodhound gang › lirik lagu the bad touch (the tandu remix) – bloodhound gang
- kumpulan lirik lagu lu baby › lirik lagu bubblegum – lu baby
- kumpulan lirik lagu slowmy › lirik lagu лимитер (limiter) – slowmy
- kumpulan lirik lagu slowz › lirik lagu don’t want to give it up – slowz
- kumpulan lirik lagu joseph solomon › lirik lagu new religion – joseph solomon
- kumpulan lirik lagu poptropicaslutz › lirik lagu true colors – poptropicaslutz!