
danger - quafff lyrics
ai! ai! ai!
tragic! tragic! tragic! huh!
the quafff
ayo augusto!
njithi na njethi wa ntheng’a
kupeana mangigi na ngega hii
mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger
njithi na njethi wa ntheng’a
kupeana mangigi na ngega hii
mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger
am ever the leader na sceptor
kubarizi na njethi wa ntheng’a
as your master tayarisha chamber kuna kikokorikoo kitachinjwa
nipee hivi juu mih ni morio anzenza am ever in hunger stakataa mih nadema
kuna kidudu huku chini peremba ni ya balokole
ka za papa wemba nampin kwa bed na steppler
it’s only a minute ndo nifike centre amini usiamini ni mama gathenga
ni mali ya mbogi ka safi ni ndeng’a
duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter
alafu akona haga amebeba kwa picha tu ye hukuwa mtamu akiwa
kwa picha buu of course ni tragic kama ni ndeng’a
wali*admit joh mih ndo huwabeba
am the most wanted huku mtaani reward iko over matenga
my block imejaa tu wamatha wa ploti hawaezi niseti
si mih huwachezesha mandichu wamejipin
tu na mabundee wanataka kuangusha huyu kijana wa ntheng’a
duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter
alafu akona haga amebeba kwa picha
tu ye hukuwa mtamu akiwa kwa picha buu
duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter
alafu akona haga amebeba kwa picha
tu ye hukuwa mtamu akiwa kwa picha buu
njithi na njethi wa ntheng’a
kupeana mangigi na ngega hii
mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger
njithi na njethi wa ntheng’a
kupeana mangigi na ngega hii
mchezo imekuwa ni danger so wajuange mih ni akukudanger
Random Song Lyrics :
- призрак (ghost) - mattokushi lyrics
- выход(exit) - distcancer lyrics
- come home with me - hadestown original west end cast lyrics
- cdg - saniance payne lyrics
- loosen up! (feat. kazi.xyz) - cultw3b lyrics
- star studded - jake snyder lyrics
- the one thing - dug pinnick lyrics
- hot (x) - kisee & vampirinysh lyrics
- all day - beats (jpn) lyrics
- life of an angel - lux aeterna lyrics