
kira - raj (kenya) lyrics
kira lyrics
intro
banana
it’s the banana
banana boy
hook
usilie kira
we nyamaza kira
usilie baby kira
baby girl kira
usilie kira
we nyamaza kira
usilie baby kira
baby girl kira
post hook
tuko juu angani kama ndege
pia chini ya maji kama ngege
tuko juu angani kama ndege
pia kwenye grao kama njege
tuko juu angani kama ndege
pia chini ya maji kama ngege
tuko juu angani kama ndege
pia kwenye grao kama njege
verse 1
me ni kama king kwenye ense ma
alejandro kama benzema
ebu washa moto sinsima
keys ni za kw-ngu za benzo ma
oya dancee ma
ka malaria the kid na ku fancy dah (fansidar)
oh dada
una good good and you badder
unanifanya roho oh gaga
pale naija i 2baba
ni kubaya baby ntaku k-mba yeah
ubaya me napenda thutha yeah
ulaya si tumewazuga yeah
hook
usilie kira
we nyamaza kira
usilie baby kira
baby girl kira
usilie kira
we nyamaza kira
usilie baby kira
baby girl kira
post hook
tuko juu angani kama ndege
pia chini ya maji kama ngege
tuko juu angani kama ndege
pia kwenye grao kama njege
bridge
tuko pale juu pale angani
tukiwakilisha tuko ngangari
angalia sisi ndo majabali
number moja ukichecki nambari
tuko pale juu pale angani
tukiwakilisha tuko ngangari
angalia sisi ni majabali
number moja ukichecki nambari
hook
usilie kira
we nyamaza kira
usilie baby kira
baby girl kira
outro
Random Song Lyrics :
- for hire and removal - eek-a-mouse lyrics
- a heart of a sunflower (chinese ver.) - handong (dreamcatcher) lyrics
- holiday - neimm lyrics
- hand hold - 雲浩影 (cloud wan) lyrics
- 크리스마스의 기적 (the miracle of christmas) - lee su jeong (이수정) lyrics
- frozen arms - evolution abyss lyrics
- safari / сафари - 8453 lyrics
- finish line - vghn (aidan vaughn) lyrics
- ginsing strip 2022 freestyle - xavier galatis lyrics
- fishy - neal fox lyrics