
nibebe - rama dee lyrics
[intro]
(?) ‘vibin
everything we got
nah, nah yeah, nah, nah, yeah
(?) ‘vibin
everything we got (we got)
[verse 1]
nahisi nimekuwa kamili
penzi lashamiri
kwa jinsi ulivyo nibadili
ma!
it’s a blessing
oh, oh, oh
naona kama naishi ndoto hivi
na sitamani kuamka, naishi kama mmanga hivi
it’s a blessing
penzi lako kemikale
umenishika mahale
sina afadhali
(?)
kalio lako ndio hatare
limenishika mahale
sina afadhali
(?)
oh, oh, oh
naona kama naishi ndoto hivi
na sitamani kuamka, naishi kama mmanga hivi
(everybody say)
it’s a blessing
everybody say beautiful thing about you
oh, ooh
everybody say beautiful thing about you
mama, mama say
(?)
even mama say beautiful thing about you
(unani*)
ooh, everybody say beautiful thing about you
(?)
uzuri wako ni madini
fundi kitandani
wengine tena sitamani
ma!
(it’s a blessing)
oh, la ha la
naona kama hii ni ndoto hivi
na sitamani kuamka, naishi kama mmanga hivi
(it’s a blessing)
pendo lako ni hatare
sikupotezi [dare]
kw*ngu we ni male (we ni male)
nipe kwanza ndio tulale
mi sio “chapa ilale”, doh salaleeh! (doh salaleeh!)
(?)
oh, la ha la
naona kama hii ni ndoto hivi
na sitamani kuamka, naishi kama mmanga hivi
(everybody say)
it’s a blessing
everybody say beautiful thing about you
oh, ooh
everybody say beautiful thing about you
mama, mama say
(?)
even mama say beautiful things about you
(unani*)
ooh, everybody say beautiful thing about you
ma!
(?)
penzi lako kemikale
umenishika mahale
sina afadhali (woo, woo, woo)
(?)
kalio lako ndio hatare
limenishika mahale
sina afadhali
(?)
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- advice - kehlani lyrics
- アイロニ(カバー) - まじ娘 lyrics
- j'deviens ouf - k special lyrics
- dígame usted señorita - kale "la evolución" lyrics
- bez mena - the paranoid lyrics
- cabeceira - o tarot lyrics
- polećmy razem - tede lyrics
- canción final 2015 (en vivo) - cayo la cabra lyrics
- chethilo cheyyesi (from "dasara bullodu") - ghantasala & p. susheela lyrics
- darkness and light [tracklist + album cover] - john legend lyrics