
mama ntilie - ray c lyrics
(instrumentals)
[chorus: a.t., ray c]
we mama
eh
ntilie, unijazie
ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
we mama
eh
ntilie, nifurahie
naona umeshaanza visa, bora nikuuzie
[verse 1: a.t.,gelly wa rhymes,ray*c]
we mama nipe kidogo
ile nijikune kisogo
leo mimi nimekuja ni kigogo
nikae ila usilete zogo
mama unitilie, unijazie
na kama nitamwaga, sitozoa mie
nipe utamu, utamu, mashamu, shamu
mpaka mimi ni nipandwe na wazimu, yeah
basi wacha papara, nikikupa utalala
hapa ni pa biashara, na utakuja nikera
[chorus: a.t., ray c]
we mama
eh
ntilie, unijazie
ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
we mama
eh
ntilie, nifurahie
naona umeshaanza visa, bora nikuuzie
[verse 2: gelly wa rhymes]
naomba nipe nyama, ‘nijisikie
nimalize salama usinibanie, hey
nipe mambo yangu
nipe mambo yangu
[verse 3: a.t.]
ndizi nimekuja nazo sijipe homa (homa)
fanya kile upendacho, ‘pilipili noma (noma)
uniiambie, wapi nikupalie
nifikirie, ugomvi wako na mie, ah
[verse 3: ray*c]
usikae mbele kuziba wenzako
unataka nyama, vipi pweza wako
umemficha, ulidhani sitamuona (sitamuona)
leo pilipili nakwambia utakoma (utakoma)
umemficha, ulidhani sitamuona
leo pilipili nakwambia utakoma
[chorus: a.t., ray c]
we mama
eh
ntilie, unijazie
ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
we mama
eh
ntilie, nifurahie
naona umeshaanza visa, bora nikuuzie
[hook: gelly wa rhymes]
(oo*ooh…)
mama ntilie, mama ntilie
(oo*ooh…)
mama ntilie, tena nijazie
(oo*ooh…)
mama ntilie, mama ntilie
(oo*ooh…)
mama ntilie, raha nisikie
[chorus: a.t., ray c]
we mama
eh
ntilie, unijazie
ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
we mama
eh
ntilie, nifurahie
naona umeshaanza visa, bora nikuuzie
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- my love goes on (refreshed) - james morrison lyrics
- pieces - adam pearce lyrics
- clash of the titans - how to gag a maggot lyrics
- balla sui tetti - cara calma lyrics
- river - hometown losers lyrics
- fire season - anna ash lyrics
- grow - sol chyld lyrics
- it's hard to be your lover when your lover is around - isaac paris lyrics
- veneno - einár lyrics
- funk flex freestyle pt3 - kendrick lamar lyrics