
fundi - rayvanny lyrics
hata wajiweke filter
uzuri wa sura yako hawatafika ooh
mama umekamilika ooh
wasiokupenda ona wanakunja ndita ooh
na unajua kupika ooh
nikishakula natamani kukulipa oh
hakuna kitu ananificha sa’ katongozeni nije kuwaaibisha oh
mungu kakupendelea ndo maana unaringa
geuka shepu ina bembea ndo maana unavimba
na hizo dimple ukinichekea nyusi umezitinda
nipe nitakupelekea wiki tunamimba, aah
nikitoka leo kongoni nishuke uvinza, aah
ukinipa kinondoni nikuombe sinza, aah
hizi cassava kamenyamenya
akibana inapenya penya
manzi wa kanairo kenya kenya
kwenye giza nimekatekenya
mtoto fundi we, fundi aah
fundi eeh, anayajua mama
mtoto fundi aah, fundi aah
fundi eeh, anayajua mama
mtoto fundi we, fundi aah
fundi eeh, anayajua mama
mtoto fundi aah, fundi aah
fundi eeh, anayajuaaa
uno la kidigo sura ya kimasai
shepu la kinyaki afro nywele dubai
meno ya kichaga oldonyo lengai
haikatoks, haikatai
ma, sweety nyonya hio ka pipi
ukikalia kwa kiti, pressure hio ni bidii
mungu kakupendelea ndo maana unaringa
geuka shepu ina bembea ndo maana unavimba
na hizo dimple ukinichekea nyusi umezitinda
nipe nitakupelekea wiki tunamimba, aah
nikitoka leo kongoni nishuke uvinza, aah
ukinipa kinondoni nikuombe sinza, aah
hizi cassava kamenyamenya
akibana inapenya penya
manzi wa kanairo kenya kenya
kwenye giza nimekatekenya
mtoto fundi we, fundi aah
fundi eeh, anayajua mama
mtoto fundi aah, fundi eeh
fundi aahh, anayajua mama
mtoto fundi we, fundi aah
fundi eeh, anayajua mama
mtoto fundi aah, fundi eeh
fundi aah, anayajua mama
kamixlizer
Random Song Lyrics :
- untitled - wolvves lyrics
- 少少瘋了 (siu2 siu2 fung1 liu5) - eman lam 林二汶 lyrics
- sail away old friend - billy cobb lyrics
- kalibrado - kalibrados lyrics
- he bought me nikes - ellie bleach lyrics
- eyelid - zavier sangre lyrics
- 見る目ないなぁ - asako lyrics
- ниагара(niagara) - слава кпсс (slava kpss) & aux lyrics
- el rey de los santos - freddy rodriguez lyrics
- cansado - gondim lyrics