
muda ni sasa - rhymaflow maven lyrics
verse 1: muda ni sasa vijana mambo ya kesho achana
kwani ni nini atuna? tuna mawazo mapana
bwa atodolo kapana tokona……….
time ishafika time bad tutataabika
funga sote tie na belt and never halt to search for bait
you are strong for what you ate time bad hommie
we are running late
tukisonga wanateta wacha wazidi kuhate
ju kah si leo kuhunt, kesho utakosa kuget
ni kustretch up your hand sajaa atafanya the rest
among the ten you made your best, its time you get a test
know really who you are uku tears umeshade
usoni umekata tamaa una usuni na umefade
ati jicho lako ni red last night auku.bed
ukijicheki kwa kioo unapatwa na headache ati front so dark tutacheza na matches tuwashe moto to the haters wabaki na hitches struggle reach that pitch, practice repair your glitch, all yearning to be rich hardwork we gat to switch
chorus: muda joh ni sahii
muda ni sasa hivi
muda kah si sasa?
muda ni sasa hivi
verse 2: muda kah si sasa , ni sasa hivi
ebu twende hivi acha bas kukaa hivi
kama kitu imezidi mbelembele kwa t.v
hii pia nalo noma iongezwe kwa c.v
plan sio ngumu mtuangu ckufichi
kwa unayo taka daily mtuangu kuwa busy mwanzo tujaribu tungangane ikiwa hard unapoanza take it easy mbona kusonona? moyo unaitaji peace isitoshe wanakuponda they don’t pay your bills your life they tease they love you go for the pills each day where ni ill ivo ndo wao vizuri watafeel its time you move along alone and freely don’t feel lonely, feel good ukiwa alone wewe winner since you were born heri kuchelewa kuliko kutokwenda better half aloaf sio lazima unavyopenda sitawa lonely ukikwenda nitabaki na maryjane anitrain nikijua nitapenda kwa wengine sitokwenda kina brenda walinitenda wakapokonya zangu cheda nikaamua nitapanda ndo nije kutafuna am on the tree top nafanya tu kuvuna mbona ubaki bila bob uku unaweza kudrop? jaribu leo pata hope kesho mula tunachop
verse 3: ni sai tuamue kakijipa tukaoe kasijifiche tufichue visha pete ikomboe right now nang’a tungoe ikipotea itakupa stress regretting kama ex you gat to wake up from that bench time to act katumbo nako k*n*lia ni vipi nitashika lunch? masiku sinapita na miezi inasonga age utatafuta ama utashindwa muda utakuachia range walio naye wanang’aa this is strange! so leo fuata your mind usipende saana hind kama umepata that’s fine ila usinywe mingi wine, usifilisi ulichofind wapende na familia mapenzi kati iwe tight together sote tubind mezani sote tudine tusonge mbele tufight tusidrag tu behind
Random Song Lyrics :
- llueve - los rusos hijos de puta lyrics
- hurtme - novi lyrics
- favela - ríryley don & luiz perry lyrics
- the astronaut - anthony baby blue lyrics
- chargin thee hoes - gorilla pimp lyrics
- не могу я без тебя (i can't without you) - mxrbit & 1 i c 4 lyrics
- with the gang - jay critch, ricobaby, doe gwapo, mally bandz & saetheguard lyrics
- high amplitude - wealthy (rapper) lyrics
- the long way - viv & riley lyrics
- you - mordenard lyrics