
ndo mana - rich mavoko lyrics
nakesha nikihesabu nyota
labda masiku yajongee
nikiota eti nitaokota
ile radha ni miee
kwa jihadi nishindane
nikirejeshe kilichopotea
nikose chongo mimi
kwa kengeza niende komea
night mwili wa baridi baridi
pembeni shahidi nani
baki mabua mahindi mahindi
shambani nimecheka na nyani
mi sio wa msiba sio wa heri
niseme mi kwa kejeli
machinga kaachwa feri
matanga basi kwa herii
tukaachana, ndo mana
ndo mana, ndo mana
(inauma sana sana)
ndo mana
ndo mana, ndo mana
(inauma sana sana)
mwana pori kulikosa shina
kulikosa jina aibu kwa nani?
tabia za mwinyi mpeku
yaani asili ni chetu
nijitose nitange tange kwa nani
nipate nini?
pombe naikataa kwa imani, nahisi majini
kijakazi nisiye na kazi
sipandi ngazi hukujali
huu my imani mi sina zari
night mwili wa baridi baridi
pembeni shahidi nani
baki mabua mahindi mahindi
shambani nimecheka na nyani
mi sio wa msiba sio wa heri
niseme mi kwa kejeli
machinga kaachwa feri
matanga basi kwa herii
tukaachana, ndo mana
ndo mana, ndo mana
(inauma sana sana)
ndo mana
ndo mana, ndo mana
(inauma sana sana)
aaah..
Random Song Lyrics :
- transpose (nicita remix) - bad suns lyrics
- pocket full of dreams - yonas lyrics
- the moon and me - kevin chamberlin lyrics
- captives - king 20/20 lyrics
- amo amor a tres - stereo total lyrics
- i de många valens land - amanda ginsburg lyrics
- intro - sloth lyrics
- suerte - en vivo desde auditorio nacional / 2013 / editada - paty cantú lyrics
- halle-fucking-lujah - mugen styles lyrics
- lines - branches lyrics