lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

soldier - rizzo lyrics

Loading...

intro] rizzo

35 35 3560
“[?]”

[chorus] rizzo

niko strong kama soldier lazima ni*win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni*win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite

[verse 1] g star

aah
we’ jua tu si’ huchukua tu vile ime*come
ukiweka resolution me nime*set goals zangu
niko na ki*pipe pipe na kina babu
na tukona bamboo za kuleta adabu
sharty muislamu anani*show mtaani ni lamua
alinipea yellow bado nikafunga tatu
nishai kuwa deep hunting karibu kujisahau
nishai kuwa maze running mpaka kwa matatu
mshai fanyiwa uduu alafu karma ika*do
maderee kwa hii jeshi hii mbogi inaweza ku*screw
usikuje na mamoshi wherever singem”[?]”
na wakidai kucheza “[?]”
[chorus] rizzo

niko strong kama soldier lazima ni*win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni*win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite

[verse 2] rizzo

easy come easy go so nabaki hard core
kunibakisha is a very big no
cheki
kwa battle field nimejibebea mto
aah
ready to die nak*mbuka niliwa*show
i’m so brave kama lion sio simba
you can have my time ka’ ni shughuli tunapiga
nike kicks saa ya weather ni marimba
makoja ni biggy unaweza uliza g star
na*stand tall very tall kama pyramid
usi*talk sh*t hizi endz utalazwa g
mko na beef me kejani nimejaza green
banja kwa net kwa street huwezi fanya sh*t
[chorus] rizzo

niko strong kama soldier lazima ni*win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni*win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite

[outro] g star

“[?]”
we rep’ing east side
3,5,6,0
yeah
east side “[?]”

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...