
sina remix - rj the dj lyrics
[intro : rj the dj]
rj the dj all day baby
[verse 1 : brother nassir]
nipende kama hurem sulemani
usiende kwa mwingine ukatamani
sinitende ukaja nidhurumu honey
tamu tende unilishe ayuni
oh niliwaze moyo w*ngu uwe baridi
nidekeze wala nyuma usirudi
huba langu sinifanyie kusudi
uwe w*ngu waumie mahasidi
huba liwe mfano kote ulimwenguni
na wadhahabu wino waandike vitabuni
ruhy nipende mno, mengine kw*ngu wanini
nasema baby kwengine mimi nikafwate nini
[hook : yammi]
aaaa aaaa aaaaa
mwingine sina
aaaaaaaaaaa
mwingine sina
aaaaaa aaaaaa
sina mwingine
[verse 2 : yammi]
nimetuliazana baby, mimi ni wako daima
kwako nishafika honey, acha pupa papara
unidekeze tuchеze cheze
umеniteka
w*ngu honey hayuni, mapenzi yako jamani
wanipumbaze akili, mwingine simtamani
tupendane kwa yakini, niwe wako w*ngu mimi
tushakula na yamini, mi nawe mpaka peponi
[hook : yammi]
aaaa aaaa aaaaa
mwingine sina
aaaaaaaaaaa
mwingine sina
aaaaaa aaaaaa
sina mwingine
[outro : rj the dj]
ladies and gentlemen
they call me rj, the dj
and i thank you so much for listening
awote
Random Song Lyrics :
- vermillion - 黒崎真音 lyrics
- acoustic - mokoma lyrics
- antneys eye - rubberbandits lyrics
- white lies - vicetone ft. chloe angelides lyrics
- папа - карина вартанян lyrics
- sands - dawn richard lyrics
- hennessy & sailor moon - yung lean lyrics
- ancient of days - junior tucker lyrics
- the delay - the weeknd lyrics
- bi'gün - kezzo lyrics