
teremsha bunduki - roma lyrics
[intro]
ambaa weee x 8
ambaaaa weeenaa x 4
[chorus]
afande teremsha bunduki
unaowatetea mbona hawakuk*mbuki
unatuonea unatupiga mabuti
mara virungu mara unataka kutushuti, eeeee
afande teremsha bunduki
unaowatetea mbona hawakuk*mbuki
unatuonea unatupiga mabuti
mara virungu mara unataka kutushuti, eeeee
[hook]
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
[verse 1]
anayeandamana hana sindano wala kiwembe
so k*muua muandamanaji sio ushujaa huo ni uzembe
mnabeba silaha nzito akili zеnu zisiwe nyepesi
jеshi ni wito sio muujiza wa kupuliza gesi
nyie mnavunja amani
mnapiga raia mahakamani
mwisho wapoteze imani
waamue k*malizana mtaani
hamuheshimu muhimili
nyie makatili hamna maadili
hamstahili injili
labda albadir tena alfajiri
wanaofaidika boss zenu sio nyie askari wa chini
kwa posho ndogo mnatumwa mtupige sasa kwanini
yaani unamuua anayepambania kesho bora ya mwanao
huku unamlinda anayekuibia na ukistaafu hakupi mafao
watoto wao wana mali
wanaendesha bugatti, ferrari
we askari chakari
unadaiwa kwa mangi sukari
na hauna gari
tunagombania mwendokasi ni hatari
tukidai mabasi unatupiga risasi we ndo’ muasi
[hook]
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
[verse 2]
unayemuona adui unampiga ndio anaekulipa mshahara
ndio mwalimu wa mwanao ndio nesi aliyekufanyia tohara
ungana nasi hizo bunduki sio za k*mlinda mtawala
anayetuibia na kututeka huku akihubiri 4r
tuna jobless laki tano anaahidi ajira elfu saba
na mnashangilia october mtatiki mtapigwa mnada
kama ameshindwa miaka minne ndio ataweza siku mia
kafeli bima mnadanganywa kitoto nawahurumia
hawaheshimu hata wajumbe ndio chanzo cha hizi vurugu
maana wanapitisha wabunge ambao wanaweza kuwamudu
tusiruhusu huu uchaguzi
ni uchafuzi na ulanguzi
wa kipuuzi mashuzi
wame*loose fuse
wamekata pumzi
[chorus]
afande teremsha bunduki
unaowatetea mbona hawakuk*mbuki
unatuonea unatupiga mabuti
mara virungu mara unataka kutushuti, eeeee
afande teremsha bunduki
unaowatetea mbona hawakuk*mbuki
unatuonea unatupiga mabuti
mara virungu mara unataka kutushuti, eeeee
[hook]
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
afande teremshaaaaaa
(haaaaai haii haii)
afande teremsha bunduki
(haii haii)
Random Song Lyrics :
- grip & ride - harlem spartans lyrics
- do not open - 1mclarividencia lyrics
- running too - tattle tale lyrics
- musica sensual - musica sensual jazz latino club lyrics
- viel zu high (freestyle) - millennium puzzle, yung mundis lyrics
- vvs - coi leray lyrics
- 1, 2, 3 - bassi maestro lyrics
- hands on the wheel - snow tha product lyrics
- a song about an angler fish - all caps lyrics
- other side - david44 lyrics