lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mwanangu - rubeboy official lyrics

Loading...

intro

toto la malume
the good rapper
na poi ooh

verse 1

hizi siri za mwanangu
siwezi mueleza mtu maana huu ni ujinga
na tuko bize mishe mchakamchaka
na mwanangu bora utuone tumepinda

babe wanashow love
pisi kali tukiingiaga kazini
love siri kali
usinitenge ukitokaga kunini
mwanzo nilimuona mi kama waki
k*mbe moyoni mchizi safi

vile kudisi ye ndo hataki
yani kirohoni safi
ghetoni kwake hukuti uwaki
mambo yote kwake safi

shida njaa kali kwake hukuti
deal zake zote chambi
yani ajabu sana
mchizi hana dharau
dikodiko
yani daily pilau
mambo ni super
ni taratibu
sio pupa
imani kwake
sio ndumba
ndiyo sifa mimi
nina mupa
chorus 1

msoto na njaa
ndo umetukuza
mtaani ugali dagaa
na tulishiba mi na yeye
shida na raha
huyo ndo mwanangu
kwenye dhiki na njaa
huyo ndo mwana

hook 1

ooh ooh ooooh
nasema we ndo mwanangu
ooh ooh ooooh
nasema we ndo mwanangu
ooh ooh ooooh
nasema we ndo mwanangu
ooh ooh ooooh
wa kufa kuzikana

versе 2

tufanye game kwa mipango
na mtusome kama bango
mwanangu wе long kitambo
situpo around kama jungle
likitokea soo ujue mi ndio chambo
tuguse ufundishwe hayo mambo
na usidhani unatamba matambo
na si kuruta wala sio mgambo

tena waambieni nimetoka dom
nimekuja dar nimefata mziki
the gold rapper
dear god bless
rapper wa madini
niwe sikamatiki

me ma man
don’t need gang gang
every time everywhere
we are bang bang
dodoma mabegani
coz ndo street the wold rap now
tz ndo country

toka way back unafanya mziki
flow chafu why umekua husikiki
umedisappear hujagawa mashabiki
mguse mwanangu uanzishwe mtiti
hii ni true love
kama msoto tumesota
milima na mabonde
tumepita tumetoka
coz show love
kwa mwanangu mi shikopa
nitampa uking nae ndo
top manyota scruu!!
chorus 2

msoto na njaa
ndo umetukuza
mtaani ugali dagaa
na tulishiba mi na yeye
shida na raha
huyo ndo mwanangu
kwenye dhiki na njaa
huyo ndo mwa

hook 2

ooh ooh ooooh
nasema we ndo mwanangu
ooh ooh ooooh
nasema we ndo mwanangu
ooh ooh ooooh
nasema we ndo mwanangu
ooh ooh ooooh
wa kufa kuzikana

outro

all the way from dom city

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...