
ntade - ruby lyrics
ile mito milima tuliopita uliiona
nikavumilia nikang’ang’ana si unaona
kuna vijidada vinadanga utaona
vitajipitisha vikitingisha utaonaa
waambie siongezi neno nishaweka nukta
wajue nilitulia sikukurupuka
waambie umenibana sitofurukuta
miee nipeleke vyovyote mwendo wa guta
hata uuze karanga sawa×2
nimeridhia kidogo tutachanga sawa×2
wanasema umenipiga manyanga sawa ×2
niroge niue nimefundwa na nyakanga sawa ×2
nik-mbate kama mtoto
(ntadeeka ntade×2)
tena unipe penzi motomoto
(ntadeeka ntade×2)
babaa wewee
baba ba babaaaaa
naheshimu maamuzi mana nimempenda mwenyewe
nshayavulia nguo bwana acha niogee
ananikuna panapokunika nikiwashwa
ananishona panapochanika sitomwacha
ila unajuaga mimi mwenzako nakupenda napenda kwelikweli
tena baby mwenzako mimi endapo ukinitenda utantenda kwelikweli
hata uuze karanga sawa×2
nimeridhia kidogo tutachanga sawa×2
wanasema umenipiga manyanga sawa ×2
niroge niue nimefundwa na nyakanga sawa ×2
nik-mbate kama mtoto
(ntadeeka ntade×2)
tena unipe penzi motomoto
(ntadeeka ntade×2)
babaa wewee
baba ba ba
ntadeeka
ntadeka×3
ntadeeekaaa
Random Song Lyrics :
- 552 freestyle - yexelavestur lyrics
- boy meets world - beezy tha rapper lyrics
- a difference - barsthehippie lyrics
- bleib stark - ganjaman lyrics
- fuller, richard buckminster (1895-1983) - artichoke lyrics
- pain - j balli lyrics
- dark city - shahn akhtar lyrics
- sick & tired - thunderhawks lyrics
- the great correction - joan baez lyrics
- red rum - stephendoesdrugs lyrics