
for love - sadim mavoice lyrics
lyrics
tulipotoka pametukoma
mpaka leo tupo hapa we never go down yeah
we just go and make harder
nakama haujui trust me dunia itakushangaza
i do for the love
i do for the vibe
no matter what happenx2
i do for the love as you know ×2
hatuna pesa kama wao
ila furaha tulionayo
tunawazidi mpaka wao
hatutamani kuwa wao
tunajua maisha yao
tuna kwetu sio kwao
tuna kwetu sio kwao kwao
chorus
weooooo weooooo
oweoooooo oweoooox2
niache nikope mimi
niogope nini mimi
wakati sina mimi walikaa mbali
siteseki mimi
naishi navyopenda mimi
wanashangaa kwanini sina kitu ila niko na looovee
i do for the love
i do for the vibe
no matter what happenx2
i do for the love as you know ×2
hatuna pesa kama wao
ila furaha tulionayo
tunawazidi mpaka wao
hatutamani kuwa wao
tunajua maisha yao
tuna kwetu sio kwao
tuna kwetu sio kwao kwao
chorus
weooooo weooooo
oweoooooo oweoooox2
Random Song Lyrics :
- i knew - detroit l-o lyrics
- lovesong - nzuo/nomu lyrics
- this changes everything - the new & very welcome lyrics
- jungle hop (live at max's kansas city) - the cramps lyrics
- ピアノのうた (piano no uta) - カネヨリマサル (kaneyori masaru) lyrics
- i'm not home - goober patrol lyrics
- мысли материальны (thoughts are material) - ko21yak lyrics
- what's my destiny dragon ball - cristina d'avena lyrics
- фиолетовые блики(purple glare) - slowbarry lyrics
- famous wrench - indecisive analogies lyrics