
ibaki story - salmin swaggz lyrics
[chorus: young lunya]
ibaki, yeah
ibaki stori kwamba nishawahi kua na wana kibao (ibaki)
ibaki stori kwamba nishawahi kua na wana ambao (ibaki)
changu chao, chao chao wao
ibaki story wana ka hao
ibaki story sina time nao
ibaki tu story
ibaki tu story (ibaki)
ibaki tu story
ibaki tu story (ibaki)
ibaki tu story
ibaki tu story (ibaki)
ibaki tu story
ibaki tu story
ibaki tu sto sto sto story
[verse 1: salmin swaggz]
huh, it’s been a minute
kila wanachosema my n-gga we done seen it
bado tunahema kabla hatuna hata hamsini
k-mekucha ni mapema, afu tumelala chini
hakuna anayejua nilichopitia than i do
these girls know me kama lyrical hard dude
watu washanirudisha nyuma mi nakomaa tu
nishatembelea hata nyota za majina ya watu
so please, polepole
telling you lovers i’m so sorry
najuta sababu nilikua mpole
ila maisha yamenifunza adabu na itabaki story
and i ain’t gotta worry
wakisema nimechange nawaambia tu wanangu keep change
mara mia nitembee na wanangu weekend
wasionipangua tangu machangu wanapretend a lot
[chorus: young lunya]
ibaki, yeah
ibaki stori kwamba nishawahi kua na wana kibao (ibaki)
ibaki stori kwamba nishawahi kua na wana ambao (ibaki)
changu chao, chao chao wao
ibaki story wana ka hao
ibaki story sina time nao
ibaki tu story
ibaki tu story (ibaki)
ibaki tu story
ibaki tu story (ibaki)
ibaki tu story
ibaki tu story (ibaki)
ibaki tu story
ibaki tu story
ibaki tu sto sto sto story
Random Song Lyrics :
- la comba - poncho k lyrics
- fossoyeur - vii lyrics
- zavatta rigole plus - vîrus lyrics
- di più - piotr_giaggi lyrics
- losing hand - remastered version - ray charles and his orchestra lyrics
- alone - yung divide lyrics
- la poudre aux yeux - kery james lyrics
- flyers - nine leaves lyrics
- started from the bottom (freestyle) - heebzstreet lyrics
- call me mr matik - mr traumatik lyrics