
mfalme wa mapenzi - sanaipei tande lyrics
uuu ahhha baby…
malaika zangu za inuka kila anapo niguza
pumzi nazo mi zaniishia kila anapo nidadisia
vile ata nipenda
vile ata niroga
vile ata niliza ×2
vile ata…
anapo nibusu uuu.
anapo nilaza chini iii…
na anapo nipapasa aaa…
ni dhahiri shahiri
nimepata mfalme wa mapenzi
hamna mwingine akaribiaye mbinu zake
nimempata mfalme wa mapenzi
hamna mwingine ila ye.
a ni faye…
×2
yu wafanya kwa utaratibu
yoja wamaliza nguvu
sina budi ila k-mruhusu
anipe sumu.
anapo nibusu uuu.
anapo nilaza chini iii…
na anapo nipapasa aaa…
ni dhahiri shahiri
nimepata mfalme wa mapenzi
hamna mwingine akaribiaye mbinu zake
nimempata mfalme wa mapenzi
hamna mwingine ila ye a ni faye.×2
ni wie radhi
sio ati ni mara ya kwanza
kufanya mapenzi
lakini bila shaka
hamna mwingine kama yeye
nimepata mfalme wa mapenzi hamna mwingine akaribiaye mbinu zake
nimempata mfalme wa mapenzi hamna mwingine ila ye a ni faye.
Random Song Lyrics :
- second of love - sebastien grainger lyrics
- (it goes like) nanana [lee rose remix] [mixed] - peggy gou lyrics
- 16 - vdsis lyrics
- big jilm - live at stubb’s, 7/2000 - ween lyrics
- karardı bulutlar - wegh lyrics
- shlass - eth.0ff lyrics
- rage - rhymesmith lyrics
- outcasted outcast - lxndmine lyrics
- vuelve - samy zenati lyrics
- summer - thee marloes lyrics