lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

watumishi wake baba - sauti tamu melodies lyrics

Loading...

watumishi wake baba w*ngapi waliopo
wanakula na kusaza chakula chake baba

nami * nami nataabika hapa
nashi * nashiriki na nguruwe
chaku * chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita * nitarudi na kusema
baba * baba yangu nisamehe
nime * nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

baba kamwona yu mbali kashikwa na huruma
akakimbia k*mlaki kamk*mbata na busu

nami * nami nataabika hapa
nashi * nashiriki na nguruwe
chaku * chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita * nitarudi na kusema
baba * baba yangu nisamehe
nime * nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

baba sistahili tena kuitwa mwana wako
unifanye kama mmoja wa watumishi wako

nami * nami nataabika hapa
nashi * nashiriki na nguruwe
chaku * chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita * nitarudi na kusema
baba * baba yangu nisamehe
nime * nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba
baba yangu nimekosa ninaomba huruma
unisamehe nirudi nikakutumikie

nami * nami nataabika hapa
nashi * nashiriki na nguruwe
chaku * chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita * nitarudi na kusema
baba * baba yangu nisamehe
nime * nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

wanikaribisha mimi kwenye karamu yako
meza imeandaliwa inaningoja mimi

nami * nami nataabika hapa
nashi * nashiriki na nguruwe
chaku * chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita * nitarudi na kusema
baba * baba yangu nisamehe
nime * nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

nasogea ninakuja ninakukimbilia
mimi ni mtoto mpotevu baba unipokee

nami * nami nataabika hapa
nashi * nashiriki na nguruwe
chaku * chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita * nitarudi na kusema
baba * baba yangu nisamehe
nime * nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...