
wewe ni fire - savara lyrics
Loading...
usipokula nyama utakonda mbaya
na ukikula nyama utakonda mbaya
na binadamu watakutreat vibaya
ishi maisha yako bila haya
juu wewe ni fire
wameni bad mouth
many many bad man
tryna make sure they step on me
na siwezi wacha
hio ndio wana taka
turn the lights on let them see
ohh lo !
all over all over the seas i go
i roll on a different flow now
mhh
zidi kuwapa more
my hustle will never slow down
weh ni mali
they can’t put a price on you
bei khali
utazidi ku baki juu
na manyani watabonganganga
na haga zao hawaoni
ndio wakutupishe ra da da
wakutoe kwa missioni
usipokula nyama utakonda mbaya
na ukikula nyama utakonda mbaya
na binadamu watakutreat vibaya
ishi maisha yako bila haya
juu wewe ni fire
Random Song Lyrics :
- a volta - rashid lyrics
- happiness - pentagon lyrics
- you make me feel - mw lyrics
- anche se - royal rhymes lyrics
- autotune automne - orties lyrics
- déjala - nigga lyrics
- red thunder (live demo) - frances lyrics
- slumber party (remix) - britney spears lyrics
- chicago freestyle - hornet la frappe lyrics
- all this promise - the joy formidable lyrics